Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Ni suala la kusikitisha kusikia kwamba, Wateja wa Bandari ya Dar, yaani, Zambia, Malawi na Congo sasa hivi wanakimbilia Bandari ya Beira Msumbiji kutoa bidhaa zao wakidai kwamba, Tanzania ina complications nyingi na kodi ni kubwa mno. Hasa Ongezeko la VAT.
Kwani Tanzania ina kodi za aina ngapi?
Kwa nini Kila mtu analalamika Kodi Kodi?
Kwani Tanzania ina kodi za aina ngapi?
Kwa nini Kila mtu analalamika Kodi Kodi?