Wafanyabiashara kugoma nchi nzima

Wafanyabiashara kugoma nchi nzima

MKONGA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
667
Reaction score
458
Wafanyabiashara wanagoma nchi nzima.

Kwanini Serikali isikae na wafanyabiashara wakazungumza na kufikia muafaka au mpaka waje wamarekani na umoja wa Ulaya waje waishauri Serikali kama wanavyofanya Sudani na Somalia?

Yangu macho ngoja nitizame mchezo unavyochezwa.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba mh waziri mkuu ameshaongea nao na wameshafikia mwafaka
 
Taarifa zilizopo ni kwamba mh waziri mkuu ameshaongea nao na wameshafikia mwafaka

Kama ni kweli waziri mkuu amekaa nao na kufikia m faka ni jambo jema
 
Waache wagome, njaa zikiwauma watafungua tu hayo maduka!
Ni kweli kabisa...waache wagome hata mwezi mzima wakitaka...lakini hiyo mbinu ya kugoma ili kuishinikiza serikali imepitwa na wakati.
Na kodi watalipa tu hakuna kukwepa..na lazima ifike mahali serikali ikatae kuburuzwa na hivi vigenge vya wajanja wajanja wanaolilia huruma ya serikali ili wapate faida maradufu..wakati mlaji wa mwisho hajawahi faidika na iyo nafuu wanayopewa...waache tabia za kupe na papasi...
 
Taarifa za chinichini ni kuwa kesho hata vyombo vya usafiri havitafanya kazi, mkoani mbeya kuna vipeperushi vimesambazwa juu ya hili la mgomo, tangia ijumaa maduka hayajafunguliwa
 
Huo nimoja Kati Ujumbe za sisi wafanya biashara
 

Attachments

  • 1427688456976.jpg
    1427688456976.jpg
    33 KB · Views: 188
inashangaza sana mtu kuhamasisha wenzake kukataa kulipa kodi wakati huo huo akiikosoa serikali yake kwa kutompatia huduma bora . watanzania hatuna hulka ya kupenda kulipa kodi.
 
Tuna Waziri mkuu dhaifu sana hajui chochote.
 
Mfanya biasha agome tu na wala haina nguvu siyo agome mkulima nchi italala njaa tu pia lazima apewe heshima kubwa
 
Back
Top Bottom