YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,033
Chama cha wafanyabiashara mkoa wa Iringa ni wakati muafaka wa kumshtaki MSIGWA mahakamani kwa kuendesha kampeni ya watu kutonunua bidhaa za mfanyabiashara mmojawapo ambaye ni mwanachama wa chama cha wafanyabiashara.Nendeni mahakamani na mmudai fidia.Na kuanzia jana aliposema anzeni kupiga hesabu ya hasara itakayokuwa imepatikana kila siku ili mmdai fidia kwa hasara iliyotokana na hasara iliyopatikana kibiashara kwa tamko lake.
Mawakili Iringa bebeni hiyo kesi hata bure akishashindwa hiyo kesi Msigwa malipo atakayolipa Msigwa mtakata gharama zenu.
Mawakili Iringa bebeni hiyo kesi hata bure akishashindwa hiyo kesi Msigwa malipo atakayolipa Msigwa mtakata gharama zenu.