Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Kwani yanafanywa hayo yote mbunge wa arusha mjini anafanya nini kuwatetea watu wake ukiona yupo kimywa anashirikiana na hao wanamgambo.
Kwani yanafanywa hayo yote mbunge wa arusha mjini anafanya nini kuwatetea watu wake ukiona yupo kimywa anashirikiana na hao wanamgambo.
Katika hali isiyo ya Kawaida ,mgambo wa Jiji wamevunja na kuharibu vibanda vyote vya matunda vilivyoko Mtaa wa Serengeti ,opposit kidogo na hotel ya East Africa kama unaelekea Kijenge ukitokea mjini ,karibu kabisa na Round about ya Impala.
Mgambo hao wametoa kila kitu ,huku matunda hayo yakimwaga bila utaratibu maalunu .
Wananchi wanaendelea kulaumu kwa wananyofanyiwa na wanamgomva hao kila kukicha ,wengine wakidai kudhalilishwa.
Eneo hilo ni sehemu ya Chama Chama mapinduzi ! Ni pigo kwa wanachama wa chama hicho ,kudhalilishwa na kuharibuwa biashara zao walizokua wanategemea .
Polebi nyote mliokumbwa na mkasa huo.
Kwani yanafanywa hayo yote mbunge wa arusha mjini anafanya nini kuwatetea watu wake ukiona yupo kimywa anashirikiana na hao wanamgambo.
tunawaomba viongozi wa ccm wachukue hatua kwa hawa wanamgambo waliovunja vibanda vya mama zetu kwani eneo hilo walilpewa na chama, na walihaidi kuwepo na usafi wa hali ya juu kilingana na mazingra ya uzunguni,
tayari viongozi husika wameshaanza kufanyia kazi tukio hilo, ccm haitakubali wanachama wake kunyanyasika katika nchi yao,
kama lema ndio kawatuma mwambieni imakula kwakwe
Mkoa mzima ccm wamekataliwa kwa hiyo nadhani wameamua na wao kuchukua vyao, na bado maana mzimu ule ule wakukataliwa unaelekea maeneo ya tanga hususani muheza na kwingineko
lazima ccm wapatwe na kichaa cha mbwa
wewe ujui unachokisema, hili eneo wengi wa wafanya biashara ni wanachama wa ccm, na kwa taharifa yako ccm haitakubali kamwe siasa chafu mnazofanya chadema kwa kuwanyanyasa na kuwazalilisha wanachama wetu, tutawatetea mpaka tone la mwisho hadi wapate haki yao,
Naona lile Zimwi la Mtifuano la CCM Arusha limefikia Mpaka kwa Wafanya Biashara wao Na Baado zimwi litawandama sana
Hapo si kando ya barabara jamani? Litakuwaje eneo la CCM? Duh
Ni huzuni kubwa. .
Wengine wamechukua mikopo kwa ajili ya hiyo biashara leo serikali "sikivu" imewageuka wapiga kura wake.