figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,924
- 63,644
Maduka ya k/koo baadhi leo yamefungwa kwa kile wanachodai kwamba ni mgomo wa kugomea mashine za stakabadhi za tra.
wanalalamika kwamba zinawanyonya na kukata mitaji yao.
Hili swala inabidi lifuatiliwe kwa makini.ni hayo tu.
wanalalamika kwamba zinawanyonya na kukata mitaji yao.
Hili swala inabidi lifuatiliwe kwa makini.ni hayo tu.