Wafahamu Men in Black (MiB)

Ila mkumbuke mtu mweupe hapotezi muda wake, pesa yake na kuumiza akili yake kukutolea movie ambayo hai reflect uhalisia wa kuwepo anachokionesha.
Hats zile za Simba anaongea,anajadiliana na swala mithili ya binadamu.Tuelewe vingine ni entertainment tu
 
Achana na hao bora ufikirie Men In Green wanavyotufanyia nchini hahah
 
Unaleta movie kwenye uhalisia Kwahiyo na wale avengers ni watu harisi eti? Kina Spider-Man na wenzake zile ni sci-fi haina uhalisia ni kitu cha kutunga kichwa the same kwa hizo UFO na maeliani yao ni just America propaganda za area 51 uongo mtupu
 
Mkuu movie zimekuathiri sana aisee. Mengine mule kwenye movie za will smith ni fiction tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…