Wafahamu Mastaa wanaotumia nguvu za Giza / ushirikina

Kuna msemo unasema "Freemason is not a secret society, it's a society with secrets
Ni vigumu kujua Freemason wanahusikia na nini, what are the motives, how they achieve it, and what is their endgame
Vitu vingi tunavyohisi tu najua kuhusu Freemason ni speculations tu
Kuna watu wako ndani ya Freemason ila hawajui kinachoendelea, kwasababu wanasema freemasonry is a circle within a circle within circle.. Paka ukifika degree za juu za uMason(kuna degree ya 33) ,ndo unaweza ukawa unaijua haswa ufreemason
Ila kinje nje tu Freemason wenyewe ni fraternity ya watu wenye uwezo flani wa kifedha, kiakili, wazifa ama influence au wenye potential ya kuwa na huo uwezo kwenye jamii wanasaidiana kama ndugu kujiendeleza pia kuinfluence na kuiendeleza jamii inao wazungu ka, ndo maana moja ya pillar ya Masons in philanthropy(kutoa msaada)
Masons wana amini sana uwepo wa Spirit world ndo maana moja ya sharti Lao ni members wa nabidi uwepo wa Mungu(usiwe Atheist), ila hawajali ni mungu gani unayeamini yupo kama ni Allah wa waarabu au Yahwe/Elohim wa wa Israel, ama Vishna wa wa hindu..
 
Kuna majini wema na wanafanya ibada kwa mola kuliko hata wewe binadamu.

Mungu kaumba kila kitu mara mbili mfano giza na Nuru,kike/kiume,wema/ubaya nk
 
So ukatuchamba kwanza kenge bukini wewe!!

Ila kweli bana, tunalia kweli aseeeh.
I miss you kila nikiingia celebrities.
Rest Easy chaunabe.
 
. Aendelee kupumzika kwa amani
Yani kila nikisoma post za huyu nyau, nalia huku nacheka..

Dah!!.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Ahsante kwa maisha yake hakika!!
Amejua kuacha alama kwenye mioyo!!
πŸ˜­πŸ˜­πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…