Wafadhili wa CHADEMA

hamnazo, we kenge.
 
Ujue ili iweje? Toa unafiki wako hapa wala haikuhusu tupe wale wa magamba kwanza.

Huu sasa ni utoto. Hasira hizi ni za nini. Wewe ungesema kwamba hoja hiyo ivihusu vyama vyote ikiwemo CCM, lakini kusema kamba huo ni unafiki ni utoto na ujinga. Ni lazima taasisi zetu ziwe wazi kwa kila mtu kujua na hili ni sehemu ya governance package kwa mifumo ya demokrasia kama ya kwetu. Unajuaje labda kuna wauza mihadarati wanafadhili siasa zetu ( na nina maana kwa vyama vyote)? Hii hulka ya wafuasi wachanga wa Chadema kulipuka na kutukana ndiyo moja ya mapungufu makubwa ambayo chadema wanatakiwa kuondokana nayo kama wanataka kuonekana ni chama serious. Unajiuliza wasomi ambao wana uwezo wa ku-post thread humu wana-behave hivi, je wale wa mtaani. Observe tolerance man!
 
Kaweke hoja zako wazi mezani tukazichambue.

 
Jamani ninaomba mtu mwenye uhakika juu ya kuwa either chadema wanafadhiliwa na wafadhili toka nje au la atujuze.mana hi ni hatari
Muhimu ni chama cha siasa kinafuata idiology gani na kinapigania nini? Swala la nani anafadhili is imaterial. Ungekuwa na akili zako mwenyewe ugejiuliza kama ni sahihi kufadhiliwa nyumba kwa ajili ya wazazi kujifungulia au kuchimbiwa kisima. Fanya home, juzi imesomwa bajeti inayotegeeya wafadhili wa nje... hiyo uulizi kama ni hatari Next time however empty your heard might be try to be objective.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…