Wadukuaji wa mawasiliano ya simu, wanaweza kushitakiwa na nini adhabu yake??

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,325
36,121
Kumekuwepo wimbi la watumishi wa makampuni ya simu kudukua taarifa za ujumbe mfupi (sms) na whatsapp katika simu za wateja na kuziuza kwa wapinzani wa kisiasa na kibiashara.

Je Muhusika anaweza kushtaki kampuni ya simu? nini adhabu ya kosa hili?
 
Ingia hapa kudownload hiyo sheria
 

Attachments

  • THE_LAW_OF_PRIVACY_IN_TANZANIA_A_DISCUSS.pdf
    462.6 KB · Views: 54
Mimi si mwanasheria ila kama ni wapinzani wa kibiashara na kisiasa hawana msingi wala utetezi wa kudukua taarifa zako za simu (sms/whatsapp/sauti) "nafikiri" sheria hii mpya ya mitandao huenda (not sure) ina vipengele vya kuwatia hatiani "Wadukuaji pori" ambao wamejaa tamaa ya pesa na kusahau maadili yao ya kazi. Tena ili inoge vizuri shtaki kampuni husika ya simu ili kuwatia adabu.
 
Wadukuaji wamekuwa wengi hasa wale vijana wa customer care. Sheria ifuate mkondo wake kuwatia adabu hawa vijana na tamaa zao
 
jambo hili limeshamiri sana kwa sasa, lisipoangaliwa kwa umakini linaweza leta madhara makubwa kwa jamii
 
vijana wengi wanaoajiriwa kwenye makampuni ya simu na mabenki hawana weledi
 
Back
Top Bottom