Nenda Kariakoo, kuna maduka zaidi ya buku kule mtaa wa Aggrey. Spesifikesheni za simu unayoitaka ni za kichina, na simu za kichina huwa hazina make ya kueleweka, kuna Bluetooth, Obama, Michael Jackson, Multimedia, TV Phone e.t.c. So far TECnO ndo ambao wana make ya kueleweka ya simu mchina na zinazodumu, jaribu hiyo brand!