Wadau wa Wizara ya Viwanda na Biashara + COSTECH

Wadau wa Wizara ya Viwanda na Biashara + COSTECH

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
3,612
Reaction score
6,160
Waungwana salaam!

Nina shida ya haraka sana ya taarifa pale COSTECH & Wizara ya Viwanda na Biashara.

COSTECH

Mtu wangu amefanya application for a research permit pale COSTECH na amelipia kila kitu! Jambo ambalo ningependa kufahamu ni muda gani unachukua hadi applicant kupata hiyo permit.

NOTE: Nimepitia website ya COSTECH lakini nimekosa kabisa namba ya simu. Au kama kuna mtu unamfahamu na una namba yake ya mkononi, tafadhali naomba msaada.

Wizara ya Viwanda na Biashara.

Hapa pia ningependa kufahamu inachukua siku/wiki ngapi kupata leseni ya biashara baada ya kuwa mtu ame-submit docs zote. Biashara inayoombewa leseni ni TOUR OPERATOR na tayari Tourism Licence Agency (TALA) imeshapatikana na docs zingine zipo.

NOTE: Binafsi sipo Dar na nilijaribu kuwapigia lakini simu zao haziunganishi. Sina uhakika kama ni kwa sababu natumia simu ya mkononi na wizara wanatumia landline au kuna tatizo la lingine.

Au kama kuna mtu unamfahamu na una namba yake ya mkononi, tafadhali naomba msaada.
 
Guys, bado ningependa kufahamu hii kitu
 
tupe namba yako tukupigie mkuu -COSTECH
Mkuu ahsante sana, tena sana! Hatimae walinipigia. Though issue yenyewe bado cjafanikiwa, walionesha efforts kubwa za kunihudumia lakini kwa bahati mbaya kuna details sikuwa nazo available.

Ikiwa unamfahamu the guy who first called me na yule dada ambae aliweka additional effort; then convey my sincere thanks kwao wote and I hope next week nitakuwa na details za ziada.
 
Back
Top Bottom