Wadau wa Simba

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,037
Habari wanabodi.

Wadau bila kupoteza muda nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu zile tetesi za Mo kutaka kuondoka katika club ya Simba. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. kiukweli nilifurahi sana niliposikia zile tetesi kwamba MO anaondoka katika club ya simba.

Karibuni wanabodi.

Karibuni.
 
Mashabiki wa yanga inaonekana mnamuogopa moo kuliko kitu chochote duniani
 
Km mnavyomuogopa Zahera
Zahera yupi?? Yule ambaye kila baada ya mechi ni mtu wa kulialia na waamuzi??? sisi tumuogope kwa lipi 😂 😂 😂 😂 😂 ....labda tumuogope sababu alifanikiwa kutoa droo na sisi mechi moja so akachukua point moja kwetu
 
Sasa hapa mashabiki wa Yanga wanaingia je? Acha ubwalasi ndugu
Huyu shabiki wa yanga ndo kaanzisha uzi kumuulizia moo...sasa mambo ya moo yanawahusu nini...nyinyi anzisheni uzi kuwaulizia wakina mzee akilimali wenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom