Wadau wa Makiba High school

calculature

Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Jamani kwa yeyote ambae ama amesoma au anapafahamu Makiba Secondary School naomba anijuze wakuu ikoje kitaaluma na mazingira kwa ujumla. pia kama wewe ni miongoni mwa waliochaguliwa Makiba sec tafadhali naomba tujuane.
 
Jamani kwa yeyote ambae ama amesoma au anapafahamu Makiba Secondary School naomba anijuze wakuu ikoje kitaaluma na mazingira kwa ujumla. pia kama wewe ni miongoni mwa waliochaguliwa Makiba sec tafadhali naomba tujuane.

Jamani wadau kwa anayeifahamu hiyo shule anisaidie kuna rafiki yangu wamemtupa apo kachanganyikiwa kwel

shule ipo rchuga na so mererani fulu ukame utanijibu 2 maj hakuna umeme jiandae na kibatari so fanced vumbiiiii high temprature kaa unaangalia utabr wa hali ya hewa unaonaga k.i.a ndo ipo karb jiandae kuoga mara moja kwa wiki au kama ulishaangaliaga bunge kpndi mbunge nasari akitoa picha kuhusu ukata wa maji ndo location yake ilikuwa huko dah mwana nakuonea huruma dah


N rafki yangu ndo wamempanga hko co mimi ila tuko naye khama kama vp chkua namba zangu utantxt nmpe jamaa n 0754748431

kama ataenda hapo ajiandae na blue bahar uniform na shat jeupe ila ngoja niendelee kukupa info. Last year walikujaga kupga frnd match na sisi dah wengi walitamani kubak xcul kwetu ila haikuwezekana waliyapenda mazngira

ila unatakiwa ufikirie labda kwa sasa washaweka miundombinu fresh coz sasa hv inamilikiwa na OWN TAMISEMI kwa hyo kaichek 2

ushaur wangu kusoma ni moyo ndugu yangu
 

nadhan info ztakuwa zmekuxaidia
 
Jamani mwenye joining instructions ya makiba sekondari naomba anisaidie ni pm tashukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…