Wadau wa Jahazi la FM mawimbi

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,584
8,608
Nauliza wakuu mimi najua Jahaz lilikuwa zuri sana wakati linaanza pale walipokuwa wakianza nakibwagizo cha Captaiiiiiiiin!!!Nainafatia habari za magazeti na porojo za hapa na pale!!Lakini sasa limeingiliwa na wajuwaji basi sijahazi limekuwa jakazi!!Kuna huyu Mdau anayeitwa Ephraym Kibonde,Nashindwa kumuelewa pale hasa anapokuwa anachambua mtu nakumhukumu mbaya zaidi uishia na kumtukana mfano utasikia wewe ninani katika nchii nenda huko na chama chakoukawambie mamako na mke wako na watoto wako!!kwakweli huwa nashindwa kuelewa jamaa nini malengo yake baadae!!Pengine uhisi anataka kumnyang'anya Mh,Chiligati nafasi yake katia chama cha CCM!Kibonde Tunamjua sisi pale Oyserbay pale mtaa wa Ali bin said tulikuwa tunakutana naye moja mbili tatu!!hakuwahivi haponyuma!!Sijui nini nadhani kunakitu kahaidiwa kwamba awe mpiga debe wa chama!!hakuna kazi ikakosa mpiga debe bwana kasema nani!!Juzi kati alimshambulia Mtikila,na kama yeye Mtikila alisikia najua kwa huruka ya mtikila angemfungulia mashitaka!!Mimi naomba apunguze kidogo kwani Ngoma ikivuma sana mwishowe upasuka!Kapaah!!!!Kaptaiiiiiiin:thumb::amen:
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaagrrrrrrrrrrrrrrrrrrrh!
acheni wivu nyie!
bila kibonde mimi huwa sisikilizi JAHAZI!...

HONGERA KIBONDE!
ASALAMAAAAALEEEEEEKUUUUUU KIBONDEE KOKOTE ULIKO KUNA WATU WANAKUONEA WIVU
 
Jahazi bila Kibonde ni zawa na Ze Orijino Komedi bila Masanja mkandamizaji. Kama unakipenda kisikilize kama hukipendi kipotezee!!

Mi kusema ukweli ananisaidia sana kupunguza mihasira ya foleni,
 
hampendi kuambiwa ukweli!!!!km unackiliza na kuwafaham hao basi una feel!!otherwise potezea.
 
Achaneni naye maana kila siku kumjadili ndio mnampa kichwa bora kumpotezea kama anakuudhi!
 
Jamaa anaboa ile mbaaaaaaya..

kwa kifupi mi nilishaacha kusikiliza CLOUDS katika vipindi vyao vyote isipokuwa michezo tu .... karibu vipindi vyao vyote ni majungu, fitna, na kujipendekeza pasipo na msingi kwa watu hasa viongozi wa serikali na chama tawala.... sijui wnaataka kuchukua nafasi ya TBC.... wawe redio ya taifa... watangazaji wake hasa wa PB na hawa wa jioni ni majungu na masikhara yasio ya msingi yaani wanaboa... watakachosema wao wanaona ndio final .. yaani wao ndio wana haki ya kuisemea serikali na kuitetea.... kipindi pekee ninachosikiliza ni SPORT cah usiku... at least kule hakuna unazi wa kisiasa ni michezo tu
 
Nikweli kabisa afadhari PB lakini hapo Jahazi ninayeona huwa anfanya vizuri ni Anthonio Nugas atlst Captaiiiiin yeye hapo kama huyu mnyambala hugwe kwakujikomba!!huyo!!!mhnnnn!!:A S angry::lying::kev:
 
Jahazi ni Moja ya Vipindi Worse Kuliko vipindi vyote vya Media za Tanzania, na Huyu Efreim Kibonde ndio Mnazi pure wa CCM, mkitaka kuamini tafuteni Video ya ku- launch "changia CCM" pale Mlimani City.
 
tatizo lenu ninyi watu ni POLITICAL HATE!....
swala la kibonde kuwa ccm ni maisha yake binafsi....
tukiamua kuwa wakweli kabisa jamaa ana ''kipaji''

SALAAAAAAAAAAMAAALEEEEEEEEEEEEEEKKUUUUUUUUU KIRAIA NA KAKAKIIZA kwa chuki kubwa uliyojijengea juu ya kibonde!kibonde yupo juu kubali au kataa

mimi kusema ule ukweli jahazi la KAPITEEEEEEEEEEEEEEEEEIIIIN huwa halinogi bila kibonde
 
Nauliza wakuu mimi najua Jahaz lilikuwa zuri sana wakati linaanza pale walipokuwa wakianza nakibwagizo cha Captaiiiiiiiin!!!Nainafatia habari za magazeti na porojo za hapa na pale!!Lakini sasa limeingiliwa na wajuwaji basi sijahazi limekuwa jakazi!!Kuna huyu Mdau anayeitwa Ephraym Kibonde,Nashindwa kumuelewa pale hasa anapokuwa anachambua mtu nakumhukumu mbaya zaidi uishia na kumtukana mfano utasikia wewe ninani katika nchii nenda huko na chama chakoukawambie mamako na mke wako na watoto wako!!kwakweli huwa nashindwa kuelewa jamaa nini malengo yake baadae!!Pengine uhisi anataka kumnyang'anya Mh,Chiligati nafasi yake katia chama cha CCM!Kibonde Tunamjua sisi pale Oyserbay pale mtaa wa Ali bin said tulikuwa tunakutana naye moja mbili tatu!!hakuwahivi haponyuma!!Sijui nini nadhani kunakitu kahaidiwa kwamba awe mpiga debe wa chama!!hakuna kazi ikakosa mpiga debe bwana kasema nani!!Juzi kati alimshambulia Mtikila,na kama yeye Mtikila alisikia najua kwa huruka ya mtikila angemfungulia mashitaka!!Mimi naomba apunguze kidogo kwani Ngoma ikivuma sana mwishowe upasuka!Kapaah!!!!Kaptaiiiiiiin:thumb::amen:
Tatizo lako na wewe umewapa uzito usiostahili. Ile ni comedy halisi, hakuna habari ya mashiko pale.
Kula burdani mtu wangu. Ukitaka habari za maana sikiliza BBC, Ujeremani, Radio One stereo, Magic FM n.k, lakini sio Clouds. Upooooooo? nakupa assalaamualykum
 
Back
Top Bottom