Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 489
- 1,265
Jisajiri kwenye hiyo site, anza kujifunza taratibu hatua kwa hatu, Kwa mahara pasipo eleweka tazama video zake youtube.mfano, usd ikashuka thamani na pair ikawa EUR/USD=2
kwa maana hiyo us dollar itashuka thamani kwa rate hiyo hiyo kwa pesa zingine, na dollar kwa Tanzania itakuwa hivi
USD/TZS=1000
Acha kupotosha watu Mkuu,ushauri Wangu jisajili hapo kwenye hiyo site ya pipsology alotoa link @mwal Rct ,jifunze taratibu.....lot inaanzia 0.01 hadi 4,000,000,000,000trillion $.huko nimekadiria tu coz ndo mzunguko wa siku wa soko uo kwa siku sasa we na kamtaji ka 10$ mwisho lot yako ni 0.09 tu kadri mtaji unavopanda nawe unaongezewa kiwango cha lot
Jisajiri kwenye hiyo site, anza kujifunza taratibu hatua kwa hatu, Kwa mahara pasipo eleweka tazama video zake youtube.
Ni muhimu sana kufanya hivyo, Fx inahitaji muda mwingi wa kujifunza, ili ukifika wakati basi uweze kufanyamaamuzi sahihi ya kuingia na kutoka sokoni.Ngoja niendelee na mafunzo kabla sijaingia kwenye biashara yenyewe
Hakika Ontario ilikuwa ni mwanzo wa safari, ila kwa sasa tumeweza kusimama wenyewe.aisee.ww unawaza bado ontario watu tushakua ma guru sasa
nikerebishe mkuuAcha kupotosha watu Mkuu,ushauri Wangu jisajili hapo kwenye hiyo site ya pipsology alotoa link @mwal Rct ,jifunze taratibu.....
Apo kapotosha nn? Acha kudandia treni kwa mbeleAcha kupotosha watu Mkuu,ushauri Wangu jisajili hapo kwenye hiyo site ya pipsology alotoa link @mwal Rct ,jifunze taratibu.....