Wadau wa elimu zile shule zetu za serikali na vipaji umaarufu umeenda wapi!? Why?

Nakubaliana wewe ni kweli elimu sio majengo.

Ninachoongelea Mimi ni mabadiliko makubwa yanayofanyika kwenye sekta ya elimu KWA sasa. Inawezekana ukawa huna taarifa za kutosha lakini yapo mengi.

Kwa ufupi tayari wizara inafanya mapitio na baadhi ya mabadiliko yameshaanza kufanyika ikiwemo mafunzo kwa makundi tofauti ya walimu ili wawe tayari kuyapokea mabadiliko.

Fanya research yako leo hii kwenye universities tofauti tofauti unawakuta walimu wa shule za msingi za serikali wakinolewa sawasawa

Tutegemee mabadiliko makubwa sana kwa Maendeleo ya sekta ya elimu na afya tanzania

Cc mugah di mathew
Samahani wewe ni mwalimu??Hii mada ni nzuri kama walimu zaid watachangia.
 
Mbona akasema Msinichanganyie? Na nileteeni Gwajima,nileteeni Gwajima ,nileteeni Gwa Kima?
Ni kweli hakutaka mumchanganyie na wale wanaoshindwa kuwakilisha wananchi bungeni na badala yake wanawawakilisha mabepari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom