Wadau vipi hapo nimechemka?

Manufacturer mwaka gani??

Hata Mimi nimeipenda hiyo gari alafu IPO juu juu kifamilia zaidi..

Ukifanya service Kwa wakati na kuitunza vizuri hapo haina shida zile dhana za kusema gari imara kama treni haipo, kitu kikubwa Kwenye umiliki wa Magari ni utunzaji tu
 
Nakubaliana na wewe, matunzo ni kitu muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…