Django
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 354
- 147
Watanzania wenzangu munaofadhili michezo mbalimbali hapa nchini naomba musiupe kisogo mchezo wa Boxing kwani ni mchezo kama ilivyo michezo mingine kama vile mpira wa miguu, Basketball na n.k Tunaweza kuibua vipaji vyingi vya mchezo huu kutoka uswahilini na maeneo mengine.