VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 677
@cheusimangala nashukuru kwa ushauri?? hawatanipiga hela??nenda halotel
Hata tangazo lake ni jambo la binafsi mkuuunaleta tangazo kwenye jambo la binafsi??
yep!! sasa tatizo line ya halotel huwa naiweka kwa smartfon..Hapo Ni Kusajili Laini Ya Halotel Tu
sasa si afungue post yake kama ni binafsi??Hata tangazo lake ni jambo la binafsi mkuu
sasa si afungue post yake kama ni binafsi??
hawawezi my dear@cheusimangala nashukuru kwa ushauri?? hawatanipiga hela??
sema utapigwa na watu watepeli wa mtandaonihawawezi my dear
yule ni hackerTulia mkuu asafirie nyota yako
nina halotel H6307.
tatizo la kasimu hana ni lazima kawe na line ya halotel ...kana line mbili... sharti ni kuwa lazima slot moja iwe na line ya halotel...kitu ambacho siyo kabisa.... mwanye ujuzi kuflash haka kasimj ili kawe kanatumia line zoote bila ya halotel... msaada please View attachment 1144730
wengine tunanyota za mavi.... mwache asafirie nyota ya maviiiTulia mkuu asafirie nyota yako