Wadau nini tatizo kwa hii LG p506

Wadau nini tatizo kwa hii LG p506

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Habari zenu. Jamani nina lg phone inanipa taabu,mwanzoni mp3 ringtone ilikuwa inakubali kuset any wimbo lakini kwa sasa kila nikiset inajibu file lenye 300kb na chini ya hapo ndio linawezekana kuset. Kingine ni kwamba downloadable programs hazifanyi kazi vizuri,zinaload muda mrefu zeni hazifunguki hata play store nayo vivo hivyo. Sijui nimechezea kitu gani. Niki reset mp3 bado tatizo lakini programs zinaenda poa then tatizo linarudi kama kawaida. Ninaomba mautundu ya kufix tatizo langu.
 
Back
Top Bottom