The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 919
- 1,860
Shikikilia hapo hapo.Nianze tu kwa kusema,Mimi ni miongoni mwa watu ambao ni against single mothers,lakini wahenga walisema "usitukane mto kabla ya kuvuka mamba"..huyu single mother ni mzuuuri balaa, yuko fresh kila idara ana Mt*ko wa kwenda,kasura sasa kama beyonce huyu hapa..kwenye mapenzi ndo usiseme,hapa ndo nilipokwama baharia,unajua mi mi mzee wa tungi,basi huwezi amini single mother ananifuata hadi bar,kapiga marufuku baa zote hapa mtaani kuniuzia pombe kudadeki hataki utani,jana tu kanikuta nipo na malaya kwenye grocery flani hv tunamwagilia moyo,basi umepigwa mkono unaweza kudhani ni mandonga mtu kazi na kaoneka,msela nikachimba..sasa leo nimeamka nawaza huyu demu Kwa nini asiwe maza house,kwani Kuna ubaya gani ye kuwa na mtoto..eti wadau nipeni ushauri,nimeshanasa
Haijawahi kutokea mtu wa masanga akawa domozege,naweza kumtongoza hadi mamakoDomo zege umepata mkombozi
"usitukane mto kabla ya kuvuka mamba"Nianze tu kwa kusema,Mimi ni miongoni mwa watu ambao ni against single mothers,lakini wahenga walisema "usitukane mto kabla ya kuvuka mamba"..huyu single mother ni mzuuuri balaa, yuko fresh kila idara ana Mt*ko wa kwenda,kasura sasa kama beyonce huyu hapa..kwenye mapenzi ndo usiseme,hapa ndo nilipokwama baharia,unajua mi mi mzee wa tungi,basi huwezi amini single mother ananifuata hadi bar,kapiga marufuku baa zote hapa mtaani kuniuzia pombe kudadeki hataki utani,jana tu kanikuta nipo na malaya kwenye grocery flani hv tunamwagilia moyo,basi umepigwa mkono unaweza kudhani ni mandonga mtu kazi na kaoneka,msela nikachimba..sasa leo nimeamka nawaza huyu demu Kwa nini asiwe maza house,kwani Kuna ubaya gani ye kuwa na mtoto..eti wadau nipeni ushauri,nimeshanasa
Umeshindwa watoto wenzako sembuse mama. We jichukulie mijimama ya baa tu maharage ya mbeaHaijawahi kutokea mtu wa masanga akawa domozege,naweza kumtongoza hadi mamako
Subili nitoke kanisaniNianze tu kwa kusema,Mimi ni miongoni mwa watu ambao ni against single mothers,lakini wahenga walisema "usitukane mto kabla ya kuvuka mamba"..huyu single mother ni mzuuuri balaa, yuko fresh kila idara ana Mt*ko wa kwenda,kasura sasa kama beyonce huyu hapa..kwenye mapenzi ndo usiseme,hapa ndo nilipokwama baharia,unajua mi mi mzee wa tungi,basi huwezi amini single mother ananifuata hadi bar,kapiga marufuku baa zote hapa mtaani kuniuzia pombe kudadeki hataki utani,jana tu kanikuta nipo na malaya kwenye grocery flani hv tunamwagilia moyo,basi umepigwa mkono unaweza kudhani ni mandonga mtu kazi na kaoneka,msela nikachimba..sasa leo nimeamka nawaza huyu demu Kwa nini asiwe maza house,kwani Kuna ubaya gani ye kuwa na mtoto..eti wadau nipeni ushauri,nimeshanasa
Mamako pia maharage ya mbeya hujui???..angekuwa mgumu usingezaliwa we boyaUmeshindwa watoto wenzako sembuse mama. We jichukulie mijimama ya baa tu maharage ya mbea
Saaana mdau"usitukane mto kabla ya kuvuka mamba"
Ila hawa wanawake wabarikiwe sana kwaakweli
Ile "tap" kama sumakuHongera kwa kunasa