C Conroy Senior Member Joined May 23, 2014 Posts 158 Reaction score 44 Jun 6, 2014 #1 ni bidhaa gani ambayo hapa nchini inatoka vizuri, nna sister yupo london anataka kufanya biashara,sasa angependa kuwa akileta bidhaa kutoka nje na kuuza hapa, unashauri bidhaa gani?
ni bidhaa gani ambayo hapa nchini inatoka vizuri, nna sister yupo london anataka kufanya biashara,sasa angependa kuwa akileta bidhaa kutoka nje na kuuza hapa, unashauri bidhaa gani?
I imaney JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,014 Reaction score 317 Jun 8, 2014 #2 Ungeweka mada yako jukwaa la wajasiriamali sijui capital yake ila magari iko poa