eleza kwanza hayo mashaka ili na sisi tupate pa kuanzia kuchangianinamashaka nao sana kwa kile wanachokusudia kukitoa kwenye huduma zao..
Unawajua lakini sio naeleza mashaka kwa mtu asiyewajua...okay hawa wanatoa hudumu ya elimu kwa wajasiriamali wadogo na wa kati..ili ujiunge kua mfanyakazi wao yan kufanyiwa inrollment lazima ulipe ada ya huduma yao almost 49500 kwa mwezi...sasa nawasiwasi isiwe kama wale as forever product.eleza kwanza hayo mashaka ili na sisi tupate pa kuanzia kuchangia
ngoja pombe iniishe kwanza nitarudi kuchangia.ili ujiunge kua mfanyakazi wao yan kufanyiwa inrollment lazima ulipe ada ya huduma yao almost 49500 kwa mwezi...sasa nawasiwasi isiwe kama wale as forever product.
Yani wakuajiri na pesa uwalipe,???? Shenz kabisaUnawajua lakini sio naeleza mashaka kwa mtu asiyewajua...okay hawa wanatoa hudumu ya elimu kwa wajasiriamali wadogo na wa kati..ili ujiunge kua mfanyakazi wao yan kufanyiwa inrollment lazima ulipe ada ya huduma yao almost 49500 kwa mwezi...sasa nawasiwasi isiwe kama wale as forever product.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi kazi za kutozwa pesa ni usanii tu,mtu anatafuta ajira ili apate pesa halafu mtu huyo huyo unamtoza pesa. Usitoe mkuu,tafuta kazi ambayo hutotozwa pesa.Unawajua lakini sio naeleza mashaka kwa mtu asiyewajua...okay hawa wanatoa hudumu ya elimu kwa wajasiriamali wadogo na wa kati..ili ujiunge kua mfanyakazi wao yan kufanyiwa inrollment lazima ulipe ada ya huduma yao almost 49500 kwa mwezi...sasa nawasiwasi isiwe kama wale as forever product.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado sijajiunga na sina mpango wa kujiunga kwa utapeli huo siwezi kabisaMe nawajua vizuri, niliwahi kuomba kazi walizotangaza nikiwa Geita, wana hizo huduma zao unatakiwa uzinadi watu wajiunge wawe wanapelekewa chakula, wameziweka kwenye package 4,kwanza hazieleweki pili huwezi pata mteja na unalipwa pesa kidogo tena baada yakufikia kiwango cha wateja walichokupangia. Kama umejiunga all the best ndugu katika upotevu wa muda na nguvu zako nyumba kwa Nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app