Mkuu nilipouona huu uzi wako, ambao mpaka mimi nilipoutembelea ulikuwa umeishatembelewa na watu 75 lakini hakuna aliyechangia hata mmoja, mimi ndio wa kwanza kuchangia. Kilichonifanya nivutiwe na uzi huu, ni kwa sababu umewayliza waliobobea kwenye sheria, humu jf tunawasheria wengi waliobobea na waliufungua uzi wako kwa shauku kubwa wakijua watakutana na hoja za kisheria zinazohitaji kiwango cha ubobezi kuzijibu, walipokuta umeuliza hoja ambazo sio za kisheria, wakadharau na kujisepia zao. Mimi nimejitolea kukujibu japo sio mwanasheria, ila tongo tongo za sheria nilifuta kabla sijadisco pale UDSM.Habari za jion.
Hii kesi ya ndugu David Kafulila inanitatiza sana. Kwa nini isikilizwe mahakamani tabora badala ya kigoma? Kwasababu kafulila aligombea ubunge kigoma na uchaguz ukafanyika huko. Ina maana kigoma hamna mahakama na majaji ama hakimu? Kama zipo, tabora Ina uzito gani katika maswala ya sheria hadi isimamie Hii kesi. Nakumbuka sheikh ponda alisafiri kutoka Dar kwenda Moro kusikiliza kesi yake Kwasababu tukio lilitokea Moro.
Natanguliza shukrani
Genuine Bonafide, nothing less nothing much, Pasco katika ubora wake.Mkuu nilipouona huu uzi wako, ambao mpaka mimi nilipoutembelea ulikuwa umeishatembelewa na watu 75 lakini hakuna aliyechangia hata mmoja, mimi ndio wa kwanza kuchangia. Kilichonifanya nivutiwe na uzi huu, ni kwa sababu umewayliza waliobobea kwenye sheria, humu jf tunawasheria wengi waliobobea na waliufungua uzi wako kwa shauku kubwa wakijua watakutana na hoja za kisheria zinazohitaji kiwango cha ubobezi kuzijibu, walipokuta umeuliza hoja ambazo sio za kisheria, wakadharau na kujisepia zao. Mimi nimejitolea kukujibu japo sio mwanasheria, ila tongo tongo za sheria nilifuta kabla sijadisco pale UDSM.
Tanzania ina mikoa 26 lakini mahakama kuu iko kwenye kanda 15 tuu, hivyo kuna baadhi ya mikoa inahudumiwa na mahakama kuu iliyopo mkoa mwingine.
Uendeshaji wa kesi za mahakama kuu, kuendeshwa kwa vikao kufuatiwa na wingi wa kesi za mahakama kuu, japo Kogoma ni kanda ya mahakama kuu, lakini hakuna jaji aliyepangiwa huko kutokana na uchache wa kesi za mahakama kuu, hivyo ikaonekana ni rahisi kwa Kogoma ambayo ni kanda mpya kuja kanda kongwe ya Tabora., Kesi ipi ni ya mahakama ipi, inaamuliwa na aina ya kesi, eneo, na thamani ya shauri husika, hii inaitwa jurisdiction. Mahakama kuu ndio pekee yenye jurisdiction ya kusikiliza shauri lolote popote kwenye kanda zake.
Kesi ya Ponda ilikuwa sio kesi ya mahakama kuu ila Morogoro haina kanda ya mahakama kuu, Kesi za Moro na Pwani, zinasikiliziwa Dar. Kanda ya Arusha ina mikoa miweili ya Arusha na Manyara. Kanda ya Dodoma pia inahudumia Singida. Kanda ya Mtwara inahudumia na Lindi. Kanda ya Rukwa inahudumia na Songea. Mikoa mingine yote inajitegemea isipokuwa mikoa mipya bado haijapangiwa.
Pasco
udadavuzi mzuri ila hapo kwenye idadi ya mikoa ubadiliMkuu nilipouona huu uzi wako, ambao mpaka mimi nilipoutembelea ulikuwa umeishatembelewa na watu 75 lakini hakuna aliyechangia hata mmoja, mimi ndio wa kwanza kuchangia. Kilichonifanya nivutiwe na uzi huu, ni kwa sababu umewayliza waliobobea kwenye sheria, humu jf tunawasheria wengi waliobobea na waliufungua uzi wako kwa shauku kubwa wakijua watakutana na hoja za kisheria zinazohitaji kiwango cha ubobezi kuzijibu, walipokuta umeuliza hoja ambazo sio za kisheria, wakadharau na kujisepia zao. Mimi nimejitolea kukujibu japo sio mwanasheria, ila tongo tongo za sheria nilifuta kabla sijadisco pale UDSM.
Tanzania ina mikoa 26 lakini mahakama kuu iko kwenye kanda 15 tuu, hivyo kuna baadhi ya mikoa inahudumiwa na mahakama kuu iliyopo mkoa mwingine.
Uendeshaji wa kesi za mahakama kuu, kuendeshwa kwa vikao kufuatiwa na wingi wa kesi za mahakama kuu, japo Kogoma ni kanda ya mahakama kuu, lakini hakuna jaji aliyepangiwa huko kutokana na uchache wa kesi za mahakama kuu, hivyo ikaonekana ni rahisi kwa Kogoma ambayo ni kanda mpya kuja kanda kongwe ya Tabora., Kesi ipi ni ya mahakama ipi, inaamuliwa na aina ya kesi, eneo, na thamani ya shauri husika, hii inaitwa jurisdiction. Mahakama kuu ndio pekee yenye jurisdiction ya kusikiliza shauri lolote popote kwenye kanda zake.
Kesi ya Ponda ilikuwa sio kesi ya mahakama kuu ila Morogoro haina kanda ya mahakama kuu, Kesi za Moro na Pwani, zinasikiliziwa Dar. Kanda ya Arusha ina mikoa miweili ya Arusha na Manyara. Kanda ya Dodoma pia inahudumia Singida. Kanda ya Mtwara inahudumia na Lindi. Kanda ya Rukwa inahudumia na Songea. Mikoa mingine yote inajitegemea isipokuwa mikoa mipya bado haijapangiwa.
Pasco
Una uhakika kama yeye anajuwa Wasira na Bulaya wana kesi Mwanza?Ungefananisha kesi kama hiyo na ile ya Wassira vs Ester inayosikilizwa Mwanza
Mkuu nilipouona huu uzi wako, ambao mpaka mimi nilipoutembelea ulikuwa umeishatembelewa na watu 75 lakini hakuna aliyechangia hata mmoja, mimi ndio wa kwanza kuchangia. Kilichonifanya nivutiwe na uzi huu, ni kwa sababu umewayliza waliobobea kwenye sheria, humu jf tunawasheria wengi waliobobea na waliufungua uzi wako kwa shauku kubwa wakijua watakutana na hoja za kisheria zinazohitaji kiwango cha ubobezi kuzijibu, walipokuta umeuliza hoja ambazo sio za kisheria, wakadharau na kujisepia zao. Mimi nimejitolea kukujibu japo sio mwanasheria, ila tongo tongo za sheria nilifuta kabla sijadisco pale UDSM.
Tanzania ina mikoa 26 lakini mahakama kuu iko kwenye kanda 15 tuu, hivyo kuna baadhi ya mikoa inahudumiwa na mahakama kuu iliyopo mkoa mwingine.
Uendeshaji wa kesi za mahakama kuu, kuendeshwa kwa vikao kufuatiwa na wingi wa kesi za mahakama kuu, japo Kogoma ni kanda ya mahakama kuu, lakini hakuna jaji aliyepangiwa huko kutokana na uchache wa kesi za mahakama kuu, hivyo ikaonekana ni rahisi kwa Kogoma ambayo ni kanda mpya kuja kanda kongwe ya Tabora., Kesi ipi ni ya mahakama ipi, inaamuliwa na aina ya kesi, eneo, na thamani ya shauri husika, hii inaitwa jurisdiction. Mahakama kuu ndio pekee yenye jurisdiction ya kusikiliza shauri lolote popote kwenye kanda zake.
Kesi ya Ponda ilikuwa sio kesi ya mahakama kuu ila Morogoro haina kanda ya mahakama kuu, Kesi za Moro na Pwani, zinasikiliziwa Dar. Kanda ya Arusha ina mikoa miweili ya Arusha na Manyara. Kanda ya Dodoma pia inahudumia Singida. Kanda ya Mtwara inahudumia na Lindi. Kanda ya Rukwa inahudumia na Songea. Mikoa mingine yote inajitegemea isipokuwa mikoa mipya bado haijapangiwa.
Pasco
respect bro I really do appreciate your assistanceMkuu nilipouona huu uzi wako, ambao mpaka mimi nilipoutembelea ulikuwa umeishatembelewa na watu 75 lakini hakuna aliyechangia hata mmoja, mimi ndio wa kwanza kuchangia. Kilichonifanya nivutiwe na uzi huu, ni kwa sababu umewayliza waliobobea kwenye sheria, humu jf tunawasheria wengi waliobobea na waliufungua uzi wako kwa shauku kubwa wakijua watakutana na hoja za kisheria zinazohitaji kiwango cha ubobezi kuzijibu, walipokuta umeuliza hoja ambazo sio za kisheria, wakadharau na kujisepia zao. Mimi nimejitolea kukujibu japo sio mwanasheria, ila tongo tongo za sheria nilifuta kabla sijadisco pale UDSM.
Tanzania ina mikoa 26 lakini mahakama kuu iko kwenye kanda 15 tuu, hivyo kuna baadhi ya mikoa inahudumiwa na mahakama kuu iliyopo mkoa mwingine.
Uendeshaji wa kesi za mahakama kuu, kuendeshwa kwa vikao kufuatiwa na wingi wa kesi za mahakama kuu, japo Kogoma ni kanda ya mahakama kuu, lakini hakuna jaji aliyepangiwa huko kutokana na uchache wa kesi za mahakama kuu, hivyo ikaonekana ni rahisi kwa Kogoma ambayo ni kanda mpya kuja kanda kongwe ya Tabora., Kesi ipi ni ya mahakama ipi, inaamuliwa na aina ya kesi, eneo, na thamani ya shauri husika, hii inaitwa jurisdiction. Mahakama kuu ndio pekee yenye jurisdiction ya kusikiliza shauri lolote popote kwenye kanda zake.
Kesi ya Ponda ilikuwa sio kesi ya mahakama kuu ila Morogoro haina kanda ya mahakama kuu, Kesi za Moro na Pwani, zinasikiliziwa Dar. Kanda ya Arusha ina mikoa miweili ya Arusha na Manyara. Kanda ya Dodoma pia inahudumia Singida. Kanda ya Mtwara inahudumia na Lindi. Kanda ya Rukwa inahudumia na Songea. Mikoa mingine yote inajitegemea isipokuwa mikoa mipya bado haijapangiwa.
Pasco
We mlevi wa Mbege na mirungi mbona unakuwaga na maswali ya kitoto km Changu kalewa?Una uhakika kama yeye anajuwa Wasira na Bulaya wana kesi Mwanza?
Tayarisheni mapema taratibu za kumuwekea bond ulamaa wenu Ramadhani Dau, wakati wowote anapandishwa kwa pilato Kisutu. Utawala wa kiswahiliswahili mkakutanie huko kwenye misikiti ya msoga na cheka wenu, hapa ndipo utakapozijuwa product za kikatoliki they mean seriousness.We mlevi wa Mbege na mirungi mbona unakuwaga na maswali ya kitoto km Changu kalewa?
Ovyo sana wewe.
Sasa wewe ulichoandika kinahusiana vipi na mada hii? Hata uliyem-quote hajagusia mambo ya udini. Naona wewe unawachokoza waislam akina kahtaan.Tayarisheni mapema taratibu za kumuwekea bond ulamaa wenu Ramadhani Dau, wakati wowote anapandishwa kwa pilato Kisutu. Utawala wa kiswahiliswahili mkakutanie huko kwenye misikiti ya msoga na cheka wenu, hapa ndipo utakapozijuwa product za kikatoliki they mean seriousness.
Hapa kazi tu.
Ngoja nimwite hapa Copenhagen DN na kwa kuwa ana muda mrefu humu bila shaka atafafanuaUna uhakika kama yeye anajuwa Wasira na Bulaya wana kesi Mwanza?