Wadau Karibuni Vina Hotel Ltd!!!

Wadau Karibuni Vina Hotel Ltd!!!

Bwana Amplitus,


attachment.php

It’s common for colleagues & age mates, friends & ex friends to meet on weekends ringing a bell back of those ages, only at an exclusive rooftop Mawenzi Summit, at Vina Hotel Ltd.
Why do you have to miss such a festivity of its own kind this weekend? Karibu!!!
 
mandhari ya kujificha ikoje. Funguka.:shut-mouth:
 
hongereni inavutia ila tatizo la hoteli na lodge zinazomilikiwa na kuendeshwa na watanzania zinashindwa kumaintain standards, mwaka mmoja tu hoteli iliyokuwa na service nzuri kila kitu kinaenda down. This as my free advice to Vina
 
Nilibahatika kufika hapo Vina. Kiukweli the place is so mmmwwaaah! Hasa Roof Top Bar. Una view jiji zima. Tatizo kubwa la Vina haina lift. Hivyo kupanda na kushuka ni zoezi linaloweza chachua hata kile ulichokunywa. Kwa wale ndugu zetu (dadaz) ndo huwawia ngumu kabisa. Ukiwa roof top ukilewa kuwa makini. Kunauwezekano mkubwa wa kudondoka maana ngazi zipo so steep! Lift zingekuwepo nimemalizia zile percentage zakuikubali! Mia.
 
Vile vyumba vya chini vya bei chee wekeni AC.
 
hongereni inavutia ila tatizo la hoteli na lodge zinazomilikiwa na kuendeshwa na watanzania zinashindwa kumaintain standards, mwaka mmoja tu hoteli iliyokuwa na service nzuri kila kitu kinaenda down. This as my free advice to Vina
Sababu kubwa unajuwa inakuwa ni nini,ni mkurugenzi au viongozi wa Hotel uzalendo unapowashinda pale wanapoanza kuvipitia vile vidada vinavyotoa huduma mle ndani,matokeo yake kila muhudumu Hoteli inakuwa ya kwake.
 
Vina naijua tena tangu achukue Meneja/Mkurugenzi wake Nico naona inazidi kutoa huduma bora.
 
Back
Top Bottom