wadau,
nimeitwa interview ticts.mwenye clue yoyote kuhusu interview system ya pale atupie humu.hawakunambia chochote zaidi ya neno interview tu sasa sijui ni aptitude au oral n.k.
Huyo shaidi utampataje bila contact?halafu pale kuingia bandarini ni ishu!!