Wadau hii Pre-Order ya Phantom6 Kutoka Tecno Veepee? Mi nimeipenda.

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
May 4, 2016
218
297
Eti wanasema ukiagiza Phantom6 yenye ukubwa wa ROM 32GB,RAM 3GB,kamera mbili za nyuma zenye 13MP na 5MP,muonekano wa kuvutia pamoja na uwezo wake wa ajabu wa kuingiza chaji kwa haraka unapewa mizawadi kibao.

Bei ya kuagiza yaani Pre-Order ni 50,000/= (Elfu hamsini) Halafu baadaye unamalizia kiasi kitakachokuwa kimebaki, unapewa zawadi na simu yako.


fetch


Kilichonivutia zaidi ni kwamba na Mshkaji Alikiba atakuwepo na mtu anayeagiza hiyo Phantom6 yao anapiga nae picha.
fetch


Mi nimeona kwenye mtandao wao tu na wanasema hii itafanyika kuanzia saa 8 kamili mchana kwenye viwanja vya City Mall Posta Dar siku ya jumamosi ya tarehe 8 Oktoba 2016.
 
acha ujinga nenda jukwaa husika bhana mnatudisturb ambao hatuna interests na simu.
[HASHTAG]#usiforce[/HASHTAG] tufanane
 
Ndio ungeniambia kistaarabu, sio kunitukana. Sehemu ya Great Thinkers halafu we unaporomosha matusi. Hiyo siyo. Humu kila mtu ana uhuru wa kutoa kitu anachopendezwa nacho, cha msingi usimtukane mtu.
mkuu sijakutukana bhana,tatizo umeshtuka tu kwasabu ya ugeni wako.but usiogope tuko pamoja tumepishana kidgo tu mkuu...msamaha wako kama nimekukwaza mkuu
 
Back
Top Bottom