Wadau hii ni kweli?

Wadau hii ni kweli?

Na sie tunaotongozwa na madomo zege kwa njia ya msg? Mbona tunasoma kwa macho? Teh teh teh

Wanawake tunaweza kufall in love kwenye kwa kutazama account ya mtu ya pesa hahahahaaaaaa
 
Oooooh baby kamani ndio unarudi kimya kimya bila hata taarifa!!! Dont you know how much i missed you?

Lol nifanye kumwita kwenye nyuzi zote za wax.hahahaaaaaaa.
Shemeji wax ujege huku banaaa
 
Last edited by a moderator:
Ha ha.. ina maana macho yanachukua kazi ya masikio badala ya kusikia mashairi macho yanasoma mashairi.. (quote) mmmh hatar
 
Wanawake tunaweza kufall in love kwenye kwa kutazama account ya mtu ya pesa hahahahaaaaaa

Tena hapo unafall nyang'anyang'aaaa yaani hapo mdomo na masikio walaaa havina kazi
 
Back
Top Bottom