regy201584
Member
- Mar 12, 2015
- 7
- 0
A man can fall in love through his eyes while a woman through her ears!
Yah ni kweli wanawake wengi ni mpaka wasomeshwe na kauongo ndio wanakua walaini
Na sie tunaotongozwa na madomo zege kwa njia ya msg? Mbona tunasoma kwa macho? Teh teh teh
Kho kho kho
Nimepaliwa tu usistuke
Oooooh baby kamani ndio unarudi kimya kimya bila hata taarifa!!! Dont you know how much i missed you?
Najua zaidi ya unavojua bado sijarudi ni mstuko tu ulinipata ntatoa taalifa rasmi
A man can fall in love through his eyes while a woman through her ears!
Mmh!! Nikichepuka utanilaumu kweli?
Ni zaidi ya lawama hapa kiroho kinanidunda ila sina shaka na wewe ntuziee baby