Hapa nikienda nafungua shauri gani mzee maana hata huyo mwenye duka sijakutana nae anipe option zake naona madogo tu wanaleta dharau. Naona nisije nikaenda wakati mwenye duka anaweza kuwa ni muungwana na hana shida tatizo madogo alio waachia ofisi ndio sio waungwana.Nenda Police Boss
Kusikia kwa kenge mpaka damu imtoke masikioni.jamani si tulishaonywa kuhusu simu za kariakoo?? Kwamba huwa ni refurbished phones?
Duka ni la kueleweka yaani kama vile unaovyoona zahoro matelephone. Ngoja nitapost hapa jina la duka ili na ninyi muwe na tahadhari msije kufanys biashara na hilo duka maana wanauza vitu vingi pale wanauza simu,laptops na baadhi vifaa kama speakers za Bluetooth.jamani si tulishaonywa kuhusu simu za kariakoo?? Kwamba huwa ni refurbished phones?
Ni heri ununue simu refurbished, kuliko used. Kwanza refurbished nyingi bei zake zipo juu na zinauzwa kama mpya, mtoa mada anazungumzia used.jamani si tulishaonywa kuhusu simu za kariakoo?? Kwamba huwa ni refurbished phones?
Risiti ninayo ya kielectronic nililipia kwa simu. Warrant walinipa kadi. Simu ni Sony Xperia 1 Mark 4 haikuwa na damage yoyote na tokea kuichukua haijawahi kuonyesha dalili za changamoto but ghafla ikazima. Nimeichukua mwezi wa 11 tarehe 13 mwaka jana imekuja zingua mwezi wa kwanza katikati mwaka huu.Simu , aina ipi, vitu vyote unavyo , maana ya risiti na warrant yake,na simu haina damage ya nje nk.
Hiyo siyo risiti.Risiti ninayo ya kielectronic nililipia kwa simu. Warrant walinipa kadi. Simu ni Sony Xperia 1 Mark 4.