Wadanganyika gari yangu hiyo

sisi ma irie linatufaa sana, one love ina di place! Massive big up to man Mwangoka!
 
Litatembea kms ngapi kabla kuanza kupasuka hizo mbao kwa barabara zetu zilizojaa mapango! Wenzetu wanabuni vitu vya kudumu sisi tunabuni fahari ya macho.
 
Mkuu MziziMkavu Kweli Ukoloni bado upo kwenye Uboho, Kwa nini hapo juu ameandika TOYOTA?

Akizungumzia gari hiyo, Keneth Mwangoka anasema, gari hiyo aina ya Toyota Hiace aliinunua kutoka kwa mtu ambaye alitaka kuiuza kama chuma chakavu na aliitengeneza ili iweze kusaidia katika kuwavutia wanajiji na kupata njia ya kuwapata kwa urahisia wanakijiji na kufikisha ujumbe.
Mwangoka ambaye ni fundi wa gari hiyo, alisema gari hiyo ina injini ya Toyota 1S, robo tatu ya vitu vilivyotengeneza ni mbao na inatumia mafuta lita moja kwa kilomita nane.
 
Safi sana.....lakini hizo mbao na mchwa au atapaka dawa kama nguzo za umeme? Na wakati wa mvua likiloa itabidi fuel consumption iongezeke! Ila nimelipenda cha msingi tu fire extinguishers zisipungue 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…