and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Pamoja na kwamba kudanga ni utamaduni ama biashara kongwe nchini na kwingineko, asee kwa miaka hii ya karibuni KUDANGA kumekuwa kama LAZIMA kwa Dada zetu. Yaani mtu anadanga utadhani anapata thawabu.
* Wadangaji wengi hupendelea ngozi nyeupe (hasa Waarabu na Wachina).
** Ustaraabu jambo la bure unadanga unajitoa ufahamu kama mtoto wa kindergatten ukiuliza umeona Wallet imetuna (mimacho imekutoka kama hujawahi ona Wallet) aisee mtakuja kuumbuka kwa kukopwa. Wavimba macho si watu wema.