Wadangaji wameongezeka maradufu (2016-2018)

Akina Salome njooni huku muwahi kuolewa na hii bahati yenu.
Ila haya maisha unakutana na wanawake hadi unamkumbuka girlfriend wako uliyemuachaga. Kuna vimeo mtaani, acha kabisa. Nakumbuka mmoja aliwahi niambia hawezi acha kudanga kama mume wake hampi hela ya maana.
# Popote ulipo Salome, rudi tuyajenge maisha, bado nakuhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila haya maisha unakutana na wanawake hadi unamkumbuka girlfriend wako uliyemuachaga. Kuna vimeo mtaani, acha kabisa. Nakumbuka mmoja aliwahi niambia hawezi acha kudanga kama mume wake hampi hela ya maana.
# Popote ulipo Salome, rudi tuyajenge maisha, bado nakuhitaji.
Ahahaha umetisha Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom