hata sielewi kwa kweli acha tu nikaombewe....au na mimi nijilipue?Jiamini alafu muamini na yeye kama hajakupa sababu ya kufanya vinginevyo.
Binafsi sijawahi kuwa na mwanaume aliyenipa wasiwasi (anacheat/hanipendi/ananichezea tu) ila bado sijawahi kumtambulisha mwanaume kama mpenzi wangu kwa ndugu au rafiki. Kwahiyo wewe ukishaweza kujiambia mwenyewe kwamba "huyu ni mpenzi wangu" huna haja ya kufikiria ohhh sijui nikiwaambia wengine ntaishia kupata aibu and such. . .wa muhimu ni wewe ukubali/uamini/ujieleze na uelewe basi.
Na hao unaosema wanaolewa tu kwasababu wana confidence jaribu kuzungumza nao ujue kama wanayo kweli au la, usidanganyike na unayoyaona. Waweza kuta wenzio wameamua kujilipua tu.
hata sielewi kwa kweli acha tu nikaombewe....au na mimi nijilipue?
hivi utamwamini mwanaume kwa vipi?
i mean nijiachie vipi na niridhike niwe na confidence niseme kabisa huyu flani huyu ni mpenzi wangu......
kiukweli naogopa aibu ... unamtambulisha mtu ,siku mbili tatu si mtu ni kiatu......
kiukweli uoga uliopo moyoni mwangu ni zaidi ya upendo naoweza kuoffer kwa mwanaume
mimi nawaona waongo tu .....
hivi kuna wa ukweli? nashangaa tu wenzangu wanaolewa .... i wish niwe na confidence kama wao ila nashindwa...wananiambia eti mwanamke hadi unaolewa lazima uwe ma.....l...ya.... try wanaume wengi as much as u can eti ndo ipo siku utapata wa ukweli eti ni kweli?
nawasilisha from real@smile

..wananiambia eti mwanamke hadi unaolewa lazima uwe ma.....l...ya.... try wanaume wengi as much as u can eti ndo ipo siku utapata wa ukweli eti ni kweli?
Hawa wanao jidai hawagawi, ndo wakuwaogopa :bounce:uliposema unashangaa wenzio wanaolewa
hapo ndo point muhimu
cha kufanya mwambie mtu wako yeyote anaekufuata
kuwa ungependa kuolewa
so hutakuwa tayari kwa sex wala mahusiano marefu bila ndoa kwanza
inasaidia
Mkuu konfidensi anayo kny kiibodi tu naona (just a joke!) Nacho kiona huyu binti ametulia kutokana na malezi na kanidham nakaona pia kapo, tatizo anaanza kukata tamaa, jambo litakalo mfanya kuchukua maamuzi hatarishi. afikirie kabla ya kuamua yeye ni wa pekee!. Nb. Ninaweza siyo Mdada ingawa amechangia kinyume na msisitizo wa mleta mada na anaomba samahani kwa hilo.mbona smile unaonyesha unajiamini sana?hiyo confidence yako ki ukweli mimi sina.na kuhusu hao viumbe,jipe muda nae kwanza,and then unaweza kumtambulisha kwa marafiki.ikila kwako,wewe hautokuwa wa kwanza na wala hautokuwa wa mwisho.nina amini wapo wanaume wengine wanaokuwa na wasiwasi na kutowaamini wanawake.mimi naamini kwa asilimia zote,wapo watu faithfull.ukiwa na mtu enjoy relationship yako na penda kama anavyokupenda