Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,470
- 4,971
Robati Robati๐๐๐ mimi leo hata si comment kwa vurugu mwenzio nataka niumalize mwaka vizuri๐ sibishani tena๐Wanawake wengi ndio mpo hivi kama Mtoa mada.
Mwanamke bila drama hawezi kuitwa Mwanamke๐
Kisaikorojia[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Dada anahitaji msaada wa kisaikorojia
Mwenyewe sijapentaaaaAta
Atajwee tu Kwa kweli tupunguze na hizi shibe za sikukuu, Kwa nini amkalie kooni hivo mtoto wa watu, Kwa kweli sijapentaaaa๐คฃ๐คฃ atajwe tumalize ugomvi.
Hold on ๐คฃ๐คฃ hizo hasira zimetoka wapiNguvu kazi tupo mwaya we wataje af kazi yote tuachie sisi.
Kwanini wakufanyie hivyo shoga etu kipenzi Unique Flower , hunaga baya ya mtu
Nina hasira sana emu wataje saivi tuanze kuwashughulikia
Robati Robati๐๐๐ mimi leo hata si comment kwa vurugu mwenzio nataka niumalize mwaka vizuri๐ sibishani tena๐
Hakuna mtu aliyeibiwa mume mie sinaga time na wanaume wa humu 2022 nipo kivyangu kabisa so nitokeeHata mimi naona aisee, mpaka kuibiana waume
Yes,wapo sana hadi kerooMbona it seems like kuna watu mpo serious sana humu ndani[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona it seems like kuna watu mpo serious sana humu ndani[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
NdiondioWatajeeeeeeee
Usipowataja unawaogopa[emoji28]
๐๐๐sawa ila kuna drama zitakukondesha date na kidada cha chuo moto wake ndo huu. Atakufanya baba yake na drama kama zote๐๐๐
Malizia Mwaka vizuri mwaya mtoto mzuri.
Ola Mimi napenda Drama zenu, ๐๐
Zinawafanya muwe Romantic, majike haswa
Nitawakamatia nikurudisheWeeee nitakavyotoka nduki ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Humu nitarudi ijumaaa
Sijapenda kabisa aisee. Kuna mambo ya kuweka siri sio opportunity kama hizi mweeh[emoji23][emoji23][emoji23] watu wana siri sanaa
Sisi jobless hata hatueRewi leo ni siku gani๐คฃ๐คฃ
asa ndo nini acha tupate raha wenzio ๐๐๐๐๐๐Wewe unaeanzisha uzi ndio utaleta shida..kama wanakutukana piga kimya zidisha mapenzi Kwa huyo mume wenu acheni mambo ya kudhalilishana ndugu zangu.
Kama wewe sio mume wako,na anaekutukana sio mume wake..sasa ya nini kugombana wakati nyote nyie sio mwanaume wenu halali?
ichange karata yako vizuri.huku wakikutukana kule Kwa mume wenu unampa viuno vya kwenda..bj za maana kama kibogoyo.
Be smart