Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
Mpk sasa cjaona pic ya mfano
Hebu naomba sifa za mwili wako kwanza, ni bonge au portableNdiyo hivyo linakuwa tukunyema sababu unalitunza vizuri
Kuna kaka alikuwa hapendi mwanamke mwenye nido kubwa utazani kabeba zajirani sasa kilichokuja kumpata mwenyewe anashangaa kubwa kuzidiHahaha baby una shida hiyo nini!
mkewe huyo anampeleka wapi!Mie kawaida mkuu si kimbaumbau wala bonge nipo katiHebu naomba sifa za mwili wako kwanza, ni bonge au portable
Hapo sawa wewe unatafunika na mifupa kabisaMie kawaida mkuu si kimbaumbau wala bonge nipo kati
Hapo sawa wewe unatafunika na mifupa kabisa
wembamba ukizidi duu mmm na bonge naye mmm ila bonge unaweza fanya mazoezi ila wembamba mmm wanakula hao na sijui chakula kinaendaga wapiUnatakiwa uwe na mwili wa size ya kati ukipakatwa unapakatika vizuri![]()
![]()
![]()
wembamba ukizidi duu mmm na bonge naye mmm ila bonge unaweza fanya mazoezi ila wembamba mmm wanakula hao na sijui chakula kinaendaga wapi

Mwingine anakuwa kawaida akiolewa na kupata mtoto anaumuka huyoUnatakiwa uwe na mwili wa size ya kati ukipakatwa unapakatika vizuri![]()
![]()
![]()
Haha ile mitori wanayopewa sio mchezoMwingine anakuwa kawaida akiolewa na kupata mtoto anaumuka huyo
Ndiyo hivyo ila kama unaye akinenepa usimchukie bali msaidiye apungue kidogoHaha ile mitori wanayopewa sio mchezo

Sawa nitajitahidiNdiyo hivyo ila kama unaye akinenepa usimchukie bali msaidiye apungue kidogo![]()
![]()
![]()
Mie niliwahi ambiwa anza mazoezi nikasema sawa halafu nataka kuwa mwembamba kama fulani, jibu lake uingie nyumba ya nani mwili gani uleSawa nitajitahidi

Haahaa huo mtihaniKuna kaka alikuwa hapendi mwanamke mwenye nido kubwa utazani kabeba zajirani sasa kilichokuja kumpata mwenyewe anashangaa kubwa kuzidi![]()
![]()
![]()
mkewe huyo anampeleka wapi!
Haahaa huo mtihani
Ayatafutie matumizi ili ayapende ubunifu ktk mahaba!
ukimuuliza anaguna eti mie nilikuwa nataka modo lakini huyo hapo anatizama na pembeni

Mie niliwahi ambiwa anza mazoezi nikasema sawa halafu nataka kuwa mwembamba kama fulani, jibu lake uingie nyumba ya nani mwili gani ule![]()
![]()
![]()
![]()
ikabidi ujiachie tuHamna nipo kawaida, unajua sio kila siku kunenepa tuu kuna wakati mwili unapungua kulingana na mazingira.![]()
![]()
ikabidi ujiachie tu
Kweli. Hebu nikuone kidogoHamna nipo kawaida, unajua sio kila siku kunenepa tuu kuna wakati mwili unapungua kulingana na mazingira.