Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,444
- 62,793
Sikuipata mkuuUlipata happy ending?
ha ha ha ha ilikuwa ni full body tu mkuu,huduma nyingine sikupataUlishindwa kujiongeza mkuu. Hapo hukilipia massage tuu. Kuna offer nyingine hapo.....
ha ha ha ha ni kweli mkuuHela siyo ela
Jipige kofi moja la uso nakuja kukupiga ngumi nzito kukutoa wengeSikuipata mkuu
ha ha ha ha,watu wanataaluma za kucheza na hisia za watu na wanapiga ela...alafu anakuambia kwa siku anaweza kuhudumia watu 5,6Mmmmhh😂
ha ha ha ha ningeomba hiyo huduma angeongeza billJipige kofi moja la uso nakuja kukupiga ngumi nzito kukutoa wenge
Ni kweli mkuu,rafiki wa pesa ni matumiziKawaida tu
Inamaana hukuulizia huduma nyingine tofauti na massage!?Siku moja nilikuwa safari katika mji fulani, nikafikia kwenye hoteli moja Y.Baada ya kulipia chumba nikaona bora kwanza nioge ili kupunguza uchovu;nilipotazama kwenye meza pale chumbani nikakuta kuna kipeperushi/business card ya kampuni fulani wakijitangaza kutoa huduma ya massage popote pale ulipo.Kutokana na uchovu wa safari,nikawapigia simu...akapokea dada mmoja mwenye sauti laini,nikajikuta namwambia nahitaji huduma yao;na nikamwelekeza sehemu nilipo...na baada ya dakika 15 akawa amefika.Baada ya nusu saa akawa amemaliza kazi yake,akanichaji Sh. 65,000/=,baada ya yeye kuondoka nikajiuliza mbona kama ela yangu imepotea bure.Ndipo nikagundua wanaume wengi tunapoteza fedha kwa vitu vya ajabu ajabu
Kwenye kipeperushi hawakuainisha huduma zingine mkuu;mi niliishia kumuuliza faida na madhara ya hilo zoezi tuInamaana hukuulizia huduma nyingine tofauti na massage!?
ha ha ha ha ni kweli mkuuYani hukunegotiate... Wewe uliita tu!
Kha!
Hawa viumbe huwa tunakubaliana nao kwanza lasivyo unaweza kujikuta umetoa milioni moja kwa ajili ya peck on the cheek
ha ha ha hawanaume wamikoani wakijaga dar
Ungejiongeza tu boss.Kwenye kipeperushi hawakuainisha huduma zingine mkuu;mi niliishia kumuuliza faida na madhara ya hilo zoezi tu