kethika JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 630 Reaction score 472 Aug 23, 2017 #1 Ogopa sana wadada wanaotumia marashi hasa makali Sent using Jamii Forums mobile app
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,814 Reaction score 95,726 Aug 23, 2017 #2 Ni majini ama?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 23, 2017 #3 Marashi makaka yakukute una mimba changa na mko ofisi moja utaomba amani
R ramona Senior Member Joined Apr 3, 2017 Posts 174 Reaction score 264 Aug 23, 2017 #4 Mara nyingi wanaotumia marashi makali si wanawake si wanaume wanakuwaga wachafu, kuoga hawaogi hawajisafishi vizuri hata sehemuu wanayoishi utakuta chafuuu ila kwa kujipulizia marashi makaliii hawajambo
Mara nyingi wanaotumia marashi makali si wanawake si wanaume wanakuwaga wachafu, kuoga hawaogi hawajisafishi vizuri hata sehemuu wanayoishi utakuta chafuuu ila kwa kujipulizia marashi makaliii hawajambo
Go mi num JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 1,321 Reaction score 1,615 Aug 23, 2017 #5 Losheni yangu ya zoazoa honey ni marashi tosha....! Teh
Ugiligili JF-Expert Member Joined Jun 20, 2014 Posts 3,023 Reaction score 4,072 Aug 23, 2017 #6 Funguka mkuu ili tujue tunawaepukaje.. Ugiligili
Coca.com Senior Member Joined Dec 6, 2014 Posts 182 Reaction score 238 Aug 24, 2017 #7 Poa poa. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Sent using Jamii Forums mobile app