Wadada wanaotoka familia zenye uwezo ni wazito kitandani

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,113
3,489
Habari wana JamiiForums.

Katika uchunguzi wangu nilikokafanya hadi leo hii nimekuja kukonkludi kuwa. Wale wadada wakishua yaani fulu mashauzi, linapokuja suala la kitandani wako poor kabisa ukilinganisha na wale wakitaa.

Yaani ukitaka game la maana bora upitie uswahilini utakongoka na roho yako kuliko kuchukua hawa wa ofisi wizi mtupu baby baby nyingi lakini inapokuja swala la game utakinahi mwenyewe.
 

Sasa ukute wa kishua halafu wa kwetu... Kiruuuuuu
 
kama hajui.....unamfundisha tu......au unamtafutia makungwi wanamfundisha akitoka hapo utafurahi mwenyewe.......
 
ni hivi sisi choka mbaya tunatamani kutoka na mademu ya kishua hapa mmeelewa kwa nini
ila wakishua wanapenda kungonoka na mademu wa uswazi kwasababu ya utamu
 
Bora Hawa Hawa wa kishua kuliko wa uswaz
Uswaz mapenzi wanayajua ila ndio ukimwi ulipojaa

Weeeeeeeeee..... utakuja kufa bila kujuwa... UKIMWI hauna makazi maalumu... Tena wa huko kuna magonjwa wanayaita kwa majina mazuri utadhani yanaliwa... Eti tezi dume... Huku kwetu ni Busha tu...

Wa kishua TEZI DUME, Wa kwetu BUSHA a.k.a Ngiri maji
 
Hakuna kitu kibaya kwa mwanaume akose mwanamke anayetaka atatafuta kila namna kujiliwaza na maneno ya mkosaji na mbaya zaidi anataka kuwaaminisha na wenzake kumbe ni yeye kapigwa vibuti mpk yuko chali. Kuwa mwanaume inahitaji akili ya hali ya juu nimeona wengi wanadanganyana ati fulani nilishalala nae kumbe hata salamu hajawahi pewa it is so sad!
 

Sikujua kuwa madada waliopo ofisini ndio wanajulikana kama madada wa kishua.....tafsiri mpya hii kwangu. Na yule Aneth wa pale uwanja wa fisi anaefanya kazi ya usafi wa ofisi pale posta sijui nae yupo kwenye hili kundi....aaaaghhh tired of thinking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…