Wadada wanaojiuza wanakera sana!

Wadada wanaojiuza wanakera sana!

Holoholo-Baba Kijacho

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,793
Reaction score
13,940
Unapita zako njiani unaambiwa karibu, kuangalia labda kuna huduma inatolewa hakuna, unauliza vipi? Anajibu safi ni elfu 5000 na chumba analipia yeye. Mmh! Nabaki najiuliza nimekwambia nahtaji huduma ya malaya?

Why umshobokee mtu ambaye ni mpita njia tu? Si kama angekuwa anakuhtaji angekuja direct kwako? Tunashushana heshima sana jamani!

Inakera na ikitokea tena malaya ananikaribisha huduma ambayo haitambuliwi na mamlaka za serikali nitamzaba vibao.
 
Hawa malaya wanaweza kukushushia heshima mtaani,unapita zako,kaka kaka kaka, 5000
Na chumba bure kulaleki.
 
Unapita zako njiani unaambiwa karibu, kuangalia labda kuna huduma inatolewa hakuna,unauliza vipi? Anajibu safi ni elfu 5000 na chumba analipia yeye. Mmh! Nabaki najiuliza nimekwambia nahtaji huduma ya malaya? Why umshobokee mtu ambaye ni mpita njia tu? Si kama angekuwa anakuhtaji angekuja direct kwako? Tunashushana heshima sana jamani! Inakera na ikitokea tena malaya ananikaribisha huduma ambayo haitambuliwi na mamlaka za serikali nitamzaba vibao.
Badilisha njia mkuu, Shetani hana aibu, anafanya lolote.
 
Ni kero ya kawaida sana hasa kwa sisi watakatifu wa hapa MT Andrewe, anyway tumeshawazoe na wabarikiwe sana kutupunguzia upwiru na shida za ulimwengu.
 
Why umshobokee mtu ambaye ni mpita njia tu?
Wewe ulipita kufanya nini huko hakuna njia zingine mpaka upite huko? Watoto wengine mnakua vibaya kweli, nakuita mtoto sababu umeandika km upo kindergarten ukiona Vunga kwani lazima utangaze?
 
Unapita zako njiani unaambiwa karibu, kuangalia labda kuna huduma inatolewa hakuna, unauliza vipi? Anajibu safi ni elfu 5000 na chumba analipia yeye. Mmh! Nabaki najiuliza nimekwambia nahtaji huduma ya malaya?

Why umshobokee mtu ambaye ni mpita njia tu? Si kama angekuwa anakuhtaji angekuja direct kwako? Tunashushana heshima sana jamani!

Inakera na ikitokea tena malaya ananikaribisha huduma ambayo haitambuliwi na mamlaka za serikali nitamzaba vibao.
NIMEJISIMIKA RASMI UUNGU. KWAANZIA LEO MIMI NI MUNGU WENU LAZIMA MNIABUDU. HAYA INAMISHENI MIBICHWA YENU CHINI NA VIJAMBIO VYENU JUU NA MSEME KWA PAMOJA LOOSE NUT AKBAR!

KENGE NYIE

adriz
 
Back
Top Bottom