Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,220
- 1,498
Mwanamke anakuomba buku mbili halafu anaomba umuuzie maji bila shaka ukikubali kumuuzia tegemea kuombwa hela ya kununulia hayo maji.Kiukweli hali ni mbaya dada zetu wanaomba pesa kupitiliza just imagine mtu ujamtongoza ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako txt zinaingia za kuombwa pesa tu.
Mwengine ujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo cm yake oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k hivyo vyote nimepewa mimi kisa tu nikwamba nilionyesha yale mazingira ya kumuhitaji kwa kipindi cha nyuma.
Nilivyoona naanza kuegemewa nikafuta huo mpango,
Ila sasa pamoja na kufuta huo mpango bado ananing'ang'ania ananipiga vibomu kila saa utadhani mimi mme wake.
Hv mtu huyu nimfanyeje??
Aibu hii sasa.Hadi Maji kaomba hapo tena kuuziwa Yan hana makuu kabisa
Mleta uzi sijui apewe Nini kingine,kapewq wa size ya buku 2 na ndoo ya Maji bado kamfungulia uzi hapa ,je akipewa wa laki 1 si atambandika matangazo mtaa mzima
mwanamke wa hivyo unamfanya kama malaya tuMkuu wanakuwa na hela ukichunguza utakuta anafanya kazi ila mshahara wake hataki utumike, kwaiyo anacho kifanya ni kujigeuza Matonya tu. Sijui pesa zao wana famyiaga nini utakuta miaka nenda miaka rudi hawafanya chochote cha maana zaidi ya kuvaa tu, wakipata pesa ata wazo la kuanzisha biashara hawana.
Kama hadi chumba alichopanga kwa bei hiyo unashangaa tafuta kwanza pesa mkuu mapenzi utayafaidi ukitoa hela yako kwa moyoHapo sasa tena kapanga chumba cha 80 cha gharama kuliko hata nachoishi mwamba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu anaendana na hali ya uchumi wa sasa, nashangaa jamaa analalamika, angepigwa hiki je ?[emoji116][emoji38]View attachment 2418860
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe una matatizo sio bure Yaani kuombwa buku mbili ndio imekata hamu ya mbususu? Je ukiombwa laki moja c utakuwa hanithi !
Shenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi viumbe vimekuwa omba omba mnoo, yani text ya salam mbele kiboom! Too much imekuwa. Na wako na style mpya nowdays mtu anakutumia namba ya kutuma pesa aseee!
Kuna manzi kadhaa walinipiga viboom nikaona sio kesi nikawaambie watafute mtaji wa 5k niwape odds wabet[emoji16][emoji16] hakuna namna pesa kutoa bila nidhamu ni ujinga na uzembe.
Mifuko minne ya cement hiyo tena ile nzuri na usafiri juuKama hadi chumba alichopanga kwa bei hiyo unashangaa tafuta kwanza pesa mkuu mapenzi utayafaidi ukitoa hela yako kwa moyo
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Shida nyinyi kutoa mbususu huwa amtakiMie nina kumbukumbu mnooo !! Sema nini Polenii mazee ila Kama unazo unatoa tu mbona!!
Hakika mkuu ni ujinga na ufala mkubwaHivi viumbe vimekuwa omba omba mnoo, yani text ya salam mbele kiboom! Too much imekuwa. Na wako na style mpya nowdays mtu anakutumia namba ya kutuma pesa aseee!
Kuna manzi kadhaa walinipiga viboom nikaona sio kesi nikawaambie watafute mtaji wa 5k niwape odds wabet[emoji16][emoji16] hakuna namna pesa kutoa bila nidhamu ni ujinga na uzembe.
Daah..kama unamjua mkuu huyu manzi ana tako kubwa balaaaAcha kusiliza maneno ya watu. Wewe piga puli pumbu ziwe empty kabisa yaani zikauke. Fedha yako uitunze ufanyie mambo ya maana. Hapo unakuta unamaliza pesa yako uliyoitafuta kwa shida na taabu kisa na mkasa TAKO KUBWA 😂😂😂. We piga puli, mpaka ukauke kabisa. Halafu tunza pesa.
Ohooooooo!Usidanganywe na watu wa mitandaoni. Humu jf kila mtu tajiri na anayo kazi mshahara milioni 30 kwa mwezi. Wachovu ni mimi na wewe tu. 😂😂😂
Shida kuishi na wanaume hawataki wanataka kukaa kihuni kama nguruwe halafu wanataka kupewa mahitaji kama wake za watu. Mtihani mzito huu.
Na wao ni wajanja yani kabla ya kukupa mbususu wanahakikisha wamekuchakaza haswa ukachakaa sasa hapo ni uamuzi wako ukaze buti au ukimbieVizinga kabla ya kupewa mbususu huwa vinavumilika ila nikishasuuza rungu imekula kwake 🤣🤣🤣
Hii ni trick wanaitumia hapo akikusanya kwa watu 15 kwa siku 1Hizo message za elfu mbili mbili hua wanacopy na kupaste tu unakuta ana namba 10 zikituma 8 ni elfu 16 anayo
Kitu ambacho unafanya unahakikisha kuwa mahusiano yasiwe marefu mpaka upewe mbususu ukiona anakupanga sana ndani ya siku chache za mwanzo unajitoa kwanza unamkaushiaNa wao ni wajanja yani kabla ya kukupa mbususu wanahakikisha wamekuchakaza haswa ukachakaa sasa hapo ni uamuzi wako ukaze buti au ukimbie
Kweli mkuuWanaishije pekee yao na umri wa kuolewa umeshafika. Tatizo wao wanahisi kuolewa ni kifungo na ni sumu ya maisha yao. Ila kuliwa hovyo wanaona ni ujanja. Wakifika miaka 35 and above wakishachuja wanaanza kulazimisha ndoa kwa nguvu.
Hiki kizazi cha wanawake sijui nuksi kiliambukizwa na nani maana huko mbeleni tutakuwa na wasimbe wengi kuliko wake za watu.