Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
November nilipata ka semina Arusha tulifanyia hotel moja nzuri tu sasa wakati tunaanza session ya mchana, nilibanwa na haja ndogo (nilikunywa maji mengi after meal) nilijitahidi kuibana but hali ilikuwa tete, nikatoka mbio mbio kwenda toilet!
Kwa sababu kojo lilikuwa linagonga boxer, nilikurupuka kuingia msalani bila kusoma ni choo cha jinsia ipi, mara paap nikaingia choo cha 'kike' nilifungua zipu, nikashusha boxer fasta kama radi nikaanza kukojoa.
Ile namalizia, aliingia ghafla mdada mrefu, chocolate nae alikuwa keshapandisha mini skirt yake tayari kwa shambulizi, mara tukakutana uso kwa uso alistuka but alikuwa kwenye point of no return.
Niliomba msamaha na nikawa nampisha, nikatupia na ka utani ka kuomba kutoana aibu loh, kama zari akanambia "nisubiri nimalize nione kama utaniweza alipomaliza tulistuliwa na sauti ya new comer in next room but the fight was soo awesome! nikimtafuta tena asinilaumu!
Thanks nilipotoka nilifanya fasta kujipima HIV na kumeza PEP kabisaaa japo nilikuta -ve!
Hizi mambo huko kale hazikuwepo mdada ukimtaka unasalandia hata miezi kadhaa ndo unampata walikuwa bidhaa adimu sana kwa sasa dada zangu wengi mnakuwa too cheap. mdada unamtokea 10 mins tayari unaenda kutuliza wengine tuna hormones za jogoo, popote mechi! Kuweni makini.