REFA WA JF
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 180
- 421
Kwani lazima mkuu?ooh siwez deti saidia fundi ,ooh ukiniangalia mm ni mtu wakutumia kiswaswadu kama huwez kuninulia ifoni sikutaki,duh ww mkaka unanuka jasho mmh! nahisi kichechefu ebu nisogee pemben huk anashika pua!
Umaskini na kukosa kipato ni ugonjwa mbaya sana .ooh siwez deti saidia fundi ,ooh ukiniangalia mm ni mtu wakutumia kiswaswadu kama huwez kuninulia ifoni sikutaki,duh ww mkaka unanuka jasho mmh! nahisi kichechefu ebu nisogee pemben huk anashika pua!
Inategemea nini?Inategemea
We mdada hupendi hela?Inategemea 😊
🤣🤣 Kesho ipo ni ijumaa, au al-jumʿa..!Msitudharau leo tupo chin kesho haijulikan
Naachaje? 😜We mdada hupendi hela?
Mbona unamwambia mwamba inategemea ?Naachaje? 😜
Ni jibu sahihi Kabisa kwakeMbona unamwambia mwamba inategemea ?
Hapana mwambie atafte hela kwanzaNi jibu sahihi Kabisa kwake
Hahaha atakuwa alisahau kuwa kesho ni ujumaa 🤣🤣🤣 Kesho ipo ni ijumaa, au al-jumʿa..!
Mkuu refa capitalizing on your strength..!