wadada wakisukuma wapambanaji mno.

Hatimae dada zangu wamefikiwa ..safi sana.Ukioa mwanamke wa kisukuma ww mjengee kijumba mtafutie shamba yy ndo atakua anasimamia na kulima shamba ww kazi yako kumlima yy usiku na kukuzalia watoto.Dada zangu mnaupiga mwigiπŸ’ͺ
Mbona wewe ulikwenda kuoa Mnyakyusa? Wasukuma hukuwaona hapo Mwanza? Nyanoko faza! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Niliachana nae nikarudi kwa wasukuma wenzangu faza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…