Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 177
- 496
Hauwezi kusifia bila kutaja mchaga? Tz yapo makabila 120 umeona wachga tu?Mchagga hamuon msukuma hata kidogo.
Mkuu kumbe ww mchaggaHauwezi kusifia bila kutaja mchaga? Tz yapo makabila 120 umeona wachga tu?
Yeah, ila wasukuma ni wazuri tu bila hata kutaja wachagaMkuu kumbe ww mchagga
Wapoje bwashee?Eeeh.... nipo nao huku naona wanavyojituma kwelikweli
Wanapambana na kujitumaWapoje bwashee?
Huko ni wapi wanakojituma,Hawategemei wanaume na wala hawana tamaa.wanajituma mno hata kama yupo chuo ana kabiashara kwake.
Dogo umeamka .Kweli, nawakubali sana.
Mbogwe, wanauza kitwiri, nsasa, mbute, matobolwa na wanapiga ukware.Huko ni wapi wanakojituma,
Hahaha kwani ulikua umelala binti?😅 ( jokes)?Dogo umeamka .
Hatimaye pombe zimekuisha sasa .