Wadada wakikenya hawafai kabisa

Kumbuka kabla ya kuishi pamoja kila Mtu anakuwa Malaika.
Ina-depend na muda mlio kaa kwenye uchumba kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Hauwezi kuniambia mmekaa kwenye uchumba labda mwaka mzima, halafu ndani ya huo mwaka useme haukuwahi kuona red flag yoyote ile kutoka kwa mwenza wako, itakuwa ni uongo.
 
Wakikuyu hasa wanawake ni wakatili balaa hizi sio hearsay tunashuhudia walio waoa

Mkikosana ana kimbia na watoto na unaweza usiwaone nashindwa kuwaelewa

Akishaweka Rasta kichwani na avae raba ya buluu baasii ni juu tunasonga mazee, na mko aje cc min -me
 
Binafsi naona wanawake wakenya ni wazuri sana ila ukiwa nae lazima utumie akili mara kumi kuliko utakayo tumia ukiwa na m bongo
 
Hapo tu Kenya anatoa kilio cha mbwa mdomo wazi! Mwambie aje huku Nigeria, Ghana akutanae na Yoruba, Igbo and co. Sauti yake tu yenyewe ni ubabe tosha mbali na ujuaji, kupenda pesa, starehe, vitisho vya kulala, kunigwa kama paka, vipigo, kunyimwa mzigo, kutengwa katika lugha ya mawasiliano-ukijua kizungu anahamia French, ukileta ujuaji, anapiga yoruba au pijini uchwara yao mara huyo anaendoka M. Benz limemgoja hapo getini.
 
Vijana huwa wanajiongopea sana oh Demu kanipenda mimi sina hela ni mapenzi tu ,hawajui vizuri mademu.....Demu kuna kitu ameona kwako so kwa kipindi cha kukusibiria wewe ufike anapokuona ndiyo hapo kwa pembeni anatafuta backup ya kumuhudumia.
Akili za wanaume wapumbavu izi.
 
Ukitaka ufurahie oa wataita ni watamu na wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…