Wadada wakikenya hawafai kabisa

yes, jamaa ni soft. hapo hajaoa msenegal au mnigeria!
 
Mwanamke akupende tu hivi hivi bila mzigo basi kuna watu watakuwa wanakusaidi majukumu ya kiMZIGO.
Upo sahihi kiongozi nakumbuka kitambo sana wakati najitafuta niligongewa mwanamke wangu ila nilipombana sana akanieleza lengo apate pesa amnunulie nguo mtoto wetu.....aisee niliumia mno na kweli alimnunulia mwanangu nguo dogo akawa na nguo Kibao jambo ambalo mimi nilishindwa....umaskini msenge kweli wewe
 
Vijana huwa wanajiongopea sana oh Demu kanipenda mimi sina hela ni mapenzi tu ,hawajui vizuri mademu.....Demu kuna kitu ameona kwako so kwa kipindi cha kukusibiria wewe ufike anapokuona ndiyo hapo kwa pembeni anatafuta backup ya kumuhudumia.
 
Umemshauri nini hadi hapo huyo fulendi wako zuzu?
 
Atafute singo maza wa kushikisha ampige goli angalau apate hata mtoto
Muongeze lingine.Atafute kitu cha kumuingizia kipato.Inaonesha alienda kuolewa huko KE na limshangazi.Mwanaume mwenye kipato na mamlaka ya kiume hawezi kukubali kuwa dhalili hovyohovyo.Kama amekwama kabisa,arudi Bongo auze uduvi na utumbo wa kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…