Wadada wa Singida tunajua mahaba

Niliwahi ku date mnyaturu.
Nikajua nimepata mke, sikuwa naamini kwamba hao watu ni mama huruma kama ambavyo watu wengi husema kuhusu wao akaishia kuni cheat Mbwa yule halafu baadaye anajirudi na kujiitisha huruma eti anataka turudiane.....pumbavuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…