Wadada wa Saloon

Wadada wa Saloon

palsa

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
1,345
Reaction score
1,712
Habari zenu natafuta wadada/wamama wanaoweza kufanya kazi za salon naomba mni PM Kazi itakua Dar na malipo ni makubaliano.

NB; Kazi unaweza kufanyia hata nyumbani kwako baada ya kuelekezwa
 
Usishangae maombj mengi
Yakawa ya magasho. Maana
Saloon za dar skuhiz wanaume ndo wamejaa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Usishangae maombj mengi
Yakawa ya magasho. Maana
Saloon za dar skuhiz wanaume ndo wamejaa

Triple A
haha kazi haitafanyika saloon ila inahusu mambo ya salon
 
Back
Top Bottom