Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 155
- 340
Wapi Pascal Mayalla a.k.a Nsumba Ntale?Hakuna wa kupinga hapa Tanzania hamna kabla la kuwapinga wadada wakisuma kuwa ni warembo mno.
na tena wasukuma ndoh waonajua mahaba kuliko kabila lingine hapa bongo.kama unabisha tukutane kwenye comments na udhibitisho.
Hakuna wa kupinga hapa Tanzania hamna kabla la kuwapinga wadada wakisuma kuwa ni warembo mno.
na tena wasukuma ndoh waonajua mahaba kuliko kabila lingine hapa bongo.kama unabisha tukutane kwenye comments na udhibitisho.
Usukuma karama kutoka kwa MUNGU MWENYEZI
Jivunie asili yako wewe
lengo hasa ni lipi?Jivunie asili yako wewe
Ungekuwa ni Uzi unaozungumzia wazungu ungechekelea